Skip to main content

MISS WITNESS TEDDY KAVUMO(MISS JOURNALISM TANZANIA 2018) BALOZI WA PORI LA AKIBA SELOUS

Balozi wa kutangaza Pori la Akiba Selous Bi: Witness Teddy  ameanza kazi ya kutangaza vivutio vya utalii katika Selous na kuhamasisha wananchi wanaoishi karibu a Selous wawapende wanyamapori na wajihepushe na vitendo vya ujangili. Safari yake imeratibiwa na Bodi ya utalii wakishirikiana na TAWA HQ. Moja ya kivutio ni kabuli la Muwindaji wa Kiingereza aitwaye Fredric C.Selous aliyeuwa wakati wa vita ya pili ya Dunia ndani ya Pori la Akiba la Selous. Na ndiyo chanzo cha pori hilo kuitwa jina lake 'Selous' na alizikwa ndani ya pori hilo